Multi talented Tanzanian singer, Ibraah rolls out with a new song named “Jipinde.”
However, “Jipinde” is a Swahili phrase that translates to “Bend Over” in English. B Boy Beats produced the tune.
Get the Latest New Nigeria songs Here: LadiPoe – Feeling ft. Buju, Victor AD – Olofofo, Omah Lay – Understand, Guchi – Jennifer, Ajebo Hustlers Ft. Omah Lay – Pronto, Lojay Ft. Sarz – Monalisa, Olamide – PonPon ft. Fave, Patoranking – Celebrate Me, Naira Marley – Coming ft. Busiswa (New Song),Kolaboy ft Ejyk Nwamba – Omalicha.
and read this: American Prominent Rappers Who Died Young From Decade Till Date With Live a Healthier Life Without Spending a Lot of Money
On other hand, Ibraah has been working on his debut album, which will be drop under his Konde Music Worldwide banner. The music video will be available short time!!
Listen and share your thought below:
Ibraah – Jipinde Video
Watch out for the music video here
Watch out for the Lyrics here
Ibraah – Jipinde Lyrics
https://youtu.be/gJUiuW2aGm4
Jipinde Lyrics – Ibraah
Ye aah chinga aaah
Moja nikusifie we kama katuni mwendo hauna kasoro
na kawimbo ni kuimbie sio kwa mafumbo
kweli mwali mwali nimefollow shida ya upendo
uko moyoni natamani nikuoneshe ila hauonekani
we my sweet my hani bani nimependa kweli
sio ku having fun ouwoo o
oooh darling darling sweet sweet
ile mida flani ndani tukwichi kwichi
pendo limesha noma na twitt twitt
haujaniova saizi yani fits fiti weee
jipinde kama unainuka mama unainama nyosha mugongo kidogo
jipinde kama unaji kunja mama una chutama kama unakuja kidogo
jipinde Aawe aaye awee baby jipinde
awee aaye aawe baby jipinde
no no no olea houwo wowo eeeh
njoo nikupe kipande cha muwa awe
na ninavyo kupenda siunajuwa awe
vile huwezi kujishauwa kama kiuno kata
kama nyonga teuwa awe
mafuta nikupakaze kwa zako nywele
hadi lips nauli usije dengua binuka utamu nipate
kwenye pete ninase nikupe yote
sipimi na tuimbe doli doli doli kwa yako migandisho
Maa kama mudoli doli doli doli maana
mapenzi popote hata ikiwa kwa poli eeh
darling darling sweet sweet ile mida flani
ndani tukwichi kwichi pendo limeshanoga na twitt twit
haujaniova saizi yani fiti fiti wee
jipinde kama unainuka mama unainama nyosha mugongo kidogo
jipinde kama unaji kunja mama una chutama kama unakuja kidogo
jipinde Aawe aaye awee baby jipinde
awee aaye aawe baby jipinde